Mwanzo › Sura › Sura An-Naba
Sura An-Naba النبإ
Aya 40 · Makka · mpangilio wa kuteremshwa 80
بِسْمِ ٱللَّهِ ٱلرَّحْمَٰنِ ٱلرَّحِيمِ عَمَّ يَتَسَآءَلُونَ
Swahili Translation - Rowad Translation Center Wanaulizana kuhusu nini?
Tazama tafsiri zote za aya hii →
عَنِ ٱلنَّبَإِ ٱلْعَظِيمِ
Swahili Translation - Rowad Translation Center Kuhusu Ile habari kuu.
Tazama tafsiri zote za aya hii →
ٱلَّذِى هُمْ فِيهِ مُخْتَلِفُونَ
Swahili Translation - Rowad Translation Center Ambayo kwayo wanahitalifiana.
Tazama tafsiri zote za aya hii →
كَلَّا سَيَعْلَمُونَ
Swahili Translation - Rowad Translation Center La! Karibu watakuja jua.
Tazama tafsiri zote za aya hii →
ثُمَّ كَلَّا سَيَعْلَمُونَ
Swahili Translation - Rowad Translation Center Tena la! Karibu watakuja jua.
Tazama tafsiri zote za aya hii →
أَلَمْ نَجْعَلِ ٱلْأَرْضَ مِهَٰدًا
Swahili Translation - Rowad Translation Center Kwani hatukuifanya ardhi kama tandiko?
Tazama tafsiri zote za aya hii →
وَٱلْجِبَالَ أَوْتَادًا
Swahili Translation - Rowad Translation Center Na milima kama vigingi?
Tazama tafsiri zote za aya hii →
وَخَلَقْنَٰكُمْ أَزْوَٰجًا
Swahili Translation - Rowad Translation Center Na tukakuumbeni kwa jozi?
Tazama tafsiri zote za aya hii →
وَجَعَلْنَا نَوْمَكُمْ سُبَاتًا
Swahili Translation - Rowad Translation Center Na tukakufanya kulala kwenu ni mapumziko?
Tazama tafsiri zote za aya hii →
وَجَعَلْنَا ٱلَّيْلَ لِبَاسًا
Swahili Translation - Rowad Translation Center Na tukaufanya usiku ni nguo?
Tazama tafsiri zote za aya hii →
وَجَعَلْنَا ٱلنَّهَارَ مَعَاشًا
Swahili Translation - Rowad Translation Center Na tukaufanya mchana ni wa kuchumia maisha?
Tazama tafsiri zote za aya hii →
وَبَنَيْنَا فَوْقَكُمْ سَبْعًا شِدَادًا
Swahili Translation - Rowad Translation Center Na tukajenga juu yenu saba zenye nguvu?
Tazama tafsiri zote za aya hii →
وَجَعَلْنَا سِرَاجًا وَهَّاجًا
Swahili Translation - Rowad Translation Center Na tukaifanya taa yenye mwanga na joto.
Tazama tafsiri zote za aya hii →
وَأَنزَلْنَا مِنَ ٱلْمُعْصِرَٰتِ مَآءً ثَجَّاجًا
Swahili Translation - Rowad Translation Center Na tukateremsha maji yanayoanguka kwa kasi kutoka mawinguni.
Tazama tafsiri zote za aya hii →
لِّنُخْرِجَ بِهِۦ حَبًّا وَنَبَاتًا
Swahili Translation - Rowad Translation Center Ili tutoe kwayo nafaka na mimea.
Tazama tafsiri zote za aya hii →
وَجَنَّٰتٍ أَلْفَافًا
Swahili Translation - Rowad Translation Center Na mabustani yenye miti iliyokamatana.
Tazama tafsiri zote za aya hii →
إِنَّ يَوْمَ ٱلْفَصْلِ كَانَ مِيقَٰتًا
Swahili Translation - Rowad Translation Center Hakika Siku ya uamuzi imewekewa wakati wake.
Tazama tafsiri zote za aya hii →
يَوْمَ يُنفَخُ فِى ٱلصُّورِ فَتَأْتُونَ أَفْوَاجًا
Swahili Translation - Rowad Translation Center Siku litakapopulizwa baragumu, nanyi mtakuja kwa makundi.
Tazama tafsiri zote za aya hii →
وَفُتِحَتِ ٱلسَّمَآءُ فَكَانَتْ أَبْوَٰبًا
Swahili Translation - Rowad Translation Center Na mbingu zitafunguliwa, ziwe milango.
Tazama tafsiri zote za aya hii →
وَسُيِّرَتِ ٱلْجِبَالُ فَكَانَتْ سَرَابًا
Swahili Translation - Rowad Translation Center Na milima itaondolewa na itakuwa kama sarabi.
Tazama tafsiri zote za aya hii →
إِنَّ جَهَنَّمَ كَانَتْ مِرْصَادًا
Swahili Translation - Rowad Translation Center Hakika Jahannamu inangojea!
Tazama tafsiri zote za aya hii →
لِّلطَّٰغِينَ مَـَٔابًا
Swahili Translation - Rowad Translation Center Kwa walioasi ndio makazi yao.
Tazama tafsiri zote za aya hii →
لَّٰبِثِينَ فِيهَآ أَحْقَابًا
Swahili Translation - Rowad Translation Center Wakae humo karne baada ya karne.
Tazama tafsiri zote za aya hii →
لَّا يَذُوقُونَ فِيهَا بَرْدًا وَلَا شَرَابًا
Swahili Translation - Rowad Translation Center Hawataonja humo chochote kibaridi wala kinywaji.
Tazama tafsiri zote za aya hii →
إِلَّا حَمِيمًا وَغَسَّاقًا
Swahili Translation - Rowad Translation Center Ila maji ya moto sana na usaha.
Tazama tafsiri zote za aya hii →
جَزَآءً وِفَاقًا
Swahili Translation - Rowad Translation Center Ndio malipo mwafaka.
Tazama tafsiri zote za aya hii →
إِنَّهُمْ كَانُوا۟ لَا يَرْجُونَ حِسَابًا
Swahili Translation - Rowad Translation Center Hakika hao hawakuwa wakitaraji kuwa kuna hesabu (juu ya matendo yao).
Tazama tafsiri zote za aya hii →
وَكَذَّبُوا۟ بِـَٔايَٰتِنَا كِذَّابًا
Swahili Translation - Rowad Translation Center Na wakakanusha Aya zetu kwa nguvu.
Tazama tafsiri zote za aya hii →
وَكُلَّ شَىْءٍ أَحْصَيْنَٰهُ كِتَٰبًا
Swahili Translation - Rowad Translation Center Na kila kitu Sisi tumekidhibiti kwa kukiandika.
Tazama tafsiri zote za aya hii →
فَذُوقُوا۟ فَلَن نَّزِيدَكُمْ إِلَّا عَذَابًا
Swahili Translation - Rowad Translation Center Basi onjeni! Nasi hatutakuzidishieni ila adhabu!
Tazama tafsiri zote za aya hii →
إِنَّ لِلْمُتَّقِينَ مَفَازًا
Swahili Translation - Rowad Translation Center Hakika wacha Mungu wanastahiki kufuzu.
Tazama tafsiri zote za aya hii →
حَدَآئِقَ وَأَعْنَٰبًا
Swahili Translation - Rowad Translation Center Mabustani na mizabibu.
Tazama tafsiri zote za aya hii →
وَكَوَاعِبَ أَتْرَابًا
Swahili Translation - Rowad Translation Center Na wake wazuri waliolingana nao.
Tazama tafsiri zote za aya hii →
وَكَأْسًا دِهَاقًا
Swahili Translation - Rowad Translation Center Na bilauri zilizojaa.
Tazama tafsiri zote za aya hii →
لَّا يَسْمَعُونَ فِيهَا لَغْوًا وَلَا كِذَّٰبًا
Swahili Translation - Rowad Translation Center Hawatasikia humo upuuzi wala uongo.
Tazama tafsiri zote za aya hii →
جَزَآءً مِّن رَّبِّكَ عَطَآءً حِسَابًا
Swahili Translation - Rowad Translation Center Malipo kutoka kwa Mola wako Mlezi, kipawa cha kutosha.
Tazama tafsiri zote za aya hii →
رَّبِّ ٱلسَّمَٰوَٰتِ وَٱلْأَرْضِ وَمَا بَيْنَهُمَا ٱلرَّحْمَٰنِ لَا يَمْلِكُونَ مِنْهُ خِطَابًا
Swahili Translation - Rowad Translation Center Mola Mlezi wa mbingu na ardhi na vilivyo baina yake, Arrahman (Mwingi wa rehema); hawamiliki usemi mbele yake!
Tazama tafsiri zote za aya hii →
يَوْمَ يَقُومُ ٱلرُّوحُ وَٱلْمَلَٰٓئِكَةُ صَفًّا لَّا يَتَكَلَّمُونَ إِلَّا مَنْ أَذِنَ لَهُ ٱلرَّحْمَٰنُ وَقَالَ صَوَابًا
Swahili Translation - Rowad Translation Center Siku atakaposimama Roho na Malaika kwa safu. Hawatasema ila yule ambaye Mwingi wa rehema atamruhusu, na atasema yaliyo sawa tu.
Tazama tafsiri zote za aya hii →
ذَٰلِكَ ٱلْيَوْمُ ٱلْحَقُّ فَمَن شَآءَ ٱتَّخَذَ إِلَىٰ رَبِّهِۦ مَـَٔابًا
Swahili Translation - Rowad Translation Center Hiyo ndiyo Siku ya haki. Basi anayetaka, na ashike njia arejee kwa Mola wake Mlezi.
Tazama tafsiri zote za aya hii →
إِنَّآ أَنذَرْنَٰكُمْ عَذَابًا قَرِيبًا يَوْمَ يَنظُرُ ٱلْمَرْءُ مَا قَدَّمَتْ يَدَاهُ وَيَقُولُ ٱلْكَافِرُ يَٰلَيْتَنِى كُنتُ تُرَٰبًۢا
Swahili Translation - Rowad Translation Center Hakika tumekuhadharisheni adhabu iliyo karibu kufika; Siku ambayo mtu ataona yale yaliyotangulizwa na mikono yake; na kafiri atasema: Laiti ningelikuwa udongo!
Tazama tafsiri zote za aya hii →
← Sura Al-Mursalaat
Sura An-Naazi'aat →
Unatafuta mada? Jaribu utafutaji wa maana — swali lako hutafutwa katika aya zote 6,236.
→
Matini ya Kiarabu na tafsiri kupitia Tanzil na QuranEnc — kama zilivyo, bila kubadilishwa · Tafsiri ni mali ya watafsiri wake na si Qur'ani yenyewe
Hii ni nyenzo ya utafiti, si chanzo cha fatwa.