caseriqUtafutaji wa maana katika Qur'ani

Sura An-Naba, Aya 24

Makka · mpangilio wa kuteremshwa 80 · 78:24

لَّا يَذُوقُونَ فِيهَا بَرْدًا وَلَا شَرَابًا

Swahili Translation - Rowad Translation CenterHawataonja humo chochote kibaridi wala kinywaji.
Swahili Translation - Ali Mohsin Al-BarwaniHawataonja humo chochote kibaridi wala kinywaji,
Unatafuta mada? Jaribu utafutaji wa maana — swali lako hutafutwa katika aya zote 6,236.
Lugha — 70