caseriqUtafutaji wa maana katika Qur'ani

Sura An-Naba, Aya 27

Makka · mpangilio wa kuteremshwa 80 · 78:27

إِنَّهُمْ كَانُوا۟ لَا يَرْجُونَ حِسَابًا

Swahili Translation - Rowad Translation CenterHakika hao hawakuwa wakitaraji kuwa kuna hesabu (juu ya matendo yao).
Swahili Translation - Ali Mohsin Al-BarwaniHakika hao hawakuwa wakitaraji kuwa kuna hisabu.
Unatafuta mada? Jaribu utafutaji wa maana — swali lako hutafutwa katika aya zote 6,236.
Lugha — 70