caseriqUtafutaji wa maana katika Qur'ani

Sura An-Naba, Aya 39

Makka · mpangilio wa kuteremshwa 80 · 78:39

ذَٰلِكَ ٱلْيَوْمُ ٱلْحَقُّ فَمَن شَآءَ ٱتَّخَذَ إِلَىٰ رَبِّهِۦ مَـَٔابًا

Swahili Translation - Rowad Translation CenterHiyo ndiyo Siku ya haki. Basi anayetaka, na ashike njia arejee kwa Mola wake Mlezi.
Swahili Translation - Ali Mohsin Al-BarwaniHiyo ndiyo Siku ya haki. Basi anaye taka na ashike njia arejee kwa Mola wake Mlezi
Unatafuta mada? Jaribu utafutaji wa maana — swali lako hutafutwa katika aya zote 6,236.
Lugha — 70