caseriqUtafutaji wa maana katika Qur'ani

Sura At-Taariq الطارق

Aya 17 · Makka · mpangilio wa kuteremshwa 36

بِسْمِ ٱللَّهِ ٱلرَّحْمَٰنِ ٱلرَّحِيمِ وَٱلسَّمَآءِ وَٱلطَّارِقِ

Swahili Translation - Rowad Translation CenterNinaapa kwa mbingu na kinachokuja usiku!

Tazama tafsiri zote za aya hii →

وَمَآ أَدْرَىٰكَ مَا ٱلطَّارِقُ

Swahili Translation - Rowad Translation CenterNa nini kitakachokujulisha ni nini hicho kinachokuja usiku?

Tazama tafsiri zote za aya hii →

ٱلنَّجْمُ ٱلثَّاقِبُ

Swahili Translation - Rowad Translation CenterNi Nyota yenye mwanga mkali.

Tazama tafsiri zote za aya hii →

إِن كُلُّ نَفْسٍ لَّمَّا عَلَيْهَا حَافِظٌ

Swahili Translation - Rowad Translation CenterHapana nafsi ila inaye mwangalizi.

Tazama tafsiri zote za aya hii →

فَلْيَنظُرِ ٱلْإِنسَٰنُ مِمَّ خُلِقَ

Swahili Translation - Rowad Translation CenterHebu na ajitazame mwanadamu ameumbwa kwa kitu gani?

Tazama tafsiri zote za aya hii →

خُلِقَ مِن مَّآءٍ دَافِقٍ

Swahili Translation - Rowad Translation CenterAmeumbwa kwa maji yatokayo kwa kuchupa.

Tazama tafsiri zote za aya hii →

يَخْرُجُ مِنۢ بَيْنِ ٱلصُّلْبِ وَٱلتَّرَآئِبِ

Swahili Translation - Rowad Translation CenterYatokayo baina ya mifupa ya mgongo na mbavu.

Tazama tafsiri zote za aya hii →

إِنَّهُۥ عَلَىٰ رَجْعِهِۦ لَقَادِرٌ

Swahili Translation - Rowad Translation CenterHakika Yeye ana uweza wa kumrudisha.

Tazama tafsiri zote za aya hii →

يَوْمَ تُبْلَى ٱلسَّرَآئِرُ

Swahili Translation - Rowad Translation CenterSiku zitakapodhihirishwa siri.

Tazama tafsiri zote za aya hii →

فَمَا لَهُۥ مِن قُوَّةٍ وَلَا نَاصِرٍ

Swahili Translation - Rowad Translation CenterBasi hatakuwa na nguvu wala msaidizi.

Tazama tafsiri zote za aya hii →

وَٱلسَّمَآءِ ذَاتِ ٱلرَّجْعِ

Swahili Translation - Rowad Translation CenterNinaapa kwa mbingu yenye marejeo!

Tazama tafsiri zote za aya hii →

وَٱلْأَرْضِ ذَاتِ ٱلصَّدْعِ

Swahili Translation - Rowad Translation CenterNa kwa ardhi inayopasuka!

Tazama tafsiri zote za aya hii →

إِنَّهُۥ لَقَوْلٌ فَصْلٌ

Swahili Translation - Rowad Translation CenterHakika hii ni kauli ya kupambanua.

Tazama tafsiri zote za aya hii →

وَمَا هُوَ بِٱلْهَزْلِ

Swahili Translation - Rowad Translation CenterWala si mzaha.

Tazama tafsiri zote za aya hii →

إِنَّهُمْ يَكِيدُونَ كَيْدًا

Swahili Translation - Rowad Translation CenterHakika wao wanapanga mpango.

Tazama tafsiri zote za aya hii →

وَأَكِيدُ كَيْدًا

Swahili Translation - Rowad Translation CenterNa Mimi napanga mpango.

Tazama tafsiri zote za aya hii →

فَمَهِّلِ ٱلْكَٰفِرِينَ أَمْهِلْهُمْ رُوَيْدًۢا

Swahili Translation - Rowad Translation CenterBasi wape muhula makafiri - wape muhula pole pole.

Tazama tafsiri zote za aya hii →

Unatafuta mada? Jaribu utafutaji wa maana — swali lako hutafutwa katika aya zote 6,236.
Lugha — 70