caseriqUtafutaji wa maana katika Qur'ani

Sura At-Taariq, Aya 17

Makka · mpangilio wa kuteremshwa 36 · 86:17

فَمَهِّلِ ٱلْكَٰفِرِينَ أَمْهِلْهُمْ رُوَيْدًۢا

Swahili Translation - Rowad Translation CenterBasi wape muhula makafiri - wape muhula pole pole.
Swahili Translation - Ali Mohsin Al-BarwaniBasi wape muhula makafiri - wape muhula pole pole.
Unatafuta mada? Jaribu utafutaji wa maana — swali lako hutafutwa katika aya zote 6,236.
Lugha — 70