caseriqUtafutaji wa maana katika Qur'ani

Sura At-Taariq, Aya 2

Makka · mpangilio wa kuteremshwa 36 · 86:2

وَمَآ أَدْرَىٰكَ مَا ٱلطَّارِقُ

Swahili Translation - Rowad Translation CenterNa nini kitakachokujulisha ni nini hicho kinachokuja usiku?
Swahili Translation - Ali Mohsin Al-BarwaniNa nini kitakacho kujuulisha ni nini hicho Kinacho kuja usiku?
Unatafuta mada? Jaribu utafutaji wa maana — swali lako hutafutwa katika aya zote 6,236.
Lugha — 70