Sura Al-Faatiha الفاتحة
Aya 7 · Makka · mpangilio wa kuteremshwa 5
بِسْمِ ٱللَّهِ ٱلرَّحْمَٰنِ ٱلرَّحِيمِ
Swahili Translation - Rowad Translation CenterKwa jina la Mwenyezi Mungu, Mwingi wa rehema, Mwenye kurehemu.
Tazama tafsiri zote za aya hii →
ٱلْحَمْدُ لِلَّهِ رَبِّ ٱلْعَٰلَمِينَ
Swahili Translation - Rowad Translation CenterSifa njema zote ni za Mwenyezi Mungu, Mola Mlezi wa walimwengu.[1]
Tazama tafsiri zote za aya hii →
ٱلرَّحْمَٰنِ ٱلرَّحِيمِ
Swahili Translation - Rowad Translation CenterMwingi wa rehema, Mwenye kurehemu.[1]
Tazama tafsiri zote za aya hii →
مَٰلِكِ يَوْمِ ٱلدِّينِ
Swahili Translation - Rowad Translation CenterMmiliki wa Siku ya Malipo.
Tazama tafsiri zote za aya hii →
إِيَّاكَ نَعْبُدُ وَإِيَّاكَ نَسْتَعِينُ
Swahili Translation - Rowad Translation CenterNi Wewe tu tunayeabudu, na ni Wewe tu tunayeomba msaada.
Tazama tafsiri zote za aya hii →
ٱهْدِنَا ٱلصِّرَٰطَ ٱلْمُسْتَقِيمَ
Swahili Translation - Rowad Translation CenterTuongoe kwenye njia iliyonyooka.
Tazama tafsiri zote za aya hii →
صِرَٰطَ ٱلَّذِينَ أَنْعَمْتَ عَلَيْهِمْ غَيْرِ ٱلْمَغْضُوبِ عَلَيْهِمْ وَلَا ٱلضَّآلِّينَ
Swahili Translation - Rowad Translation CenterNjia ya wale uliowaneemesha. Siyo ya wale waliokasirikiwa, wala waliopotea.
Tazama tafsiri zote za aya hii →
Unatafuta mada? Jaribu utafutaji wa maana — swali lako hutafutwa katika aya zote 6,236.
→