caseriqUtafutaji wa maana katika Qur'ani

Sura Al-Faatiha, Aya 2

Makka · mpangilio wa kuteremshwa 5 · 1:2

ٱلْحَمْدُ لِلَّهِ رَبِّ ٱلْعَٰلَمِينَ

Swahili Translation - Rowad Translation CenterSifa njema zote ni za Mwenyezi Mungu, Mola Mlezi wa walimwengu.[1]
Swahili Translation - Ali Mohsin Al-BarwaniSifa njema zote ni za Mwenyeezi Mungu, Mola Mlezi wa viumbe vyote;
Unatafuta mada? Jaribu utafutaji wa maana — swali lako hutafutwa katika aya zote 6,236.
Lugha — 70