caseriqUtafutaji wa maana katika Qur'ani

Sura Al-Faatiha, Aya 7

Makka · mpangilio wa kuteremshwa 5 · 1:7

صِرَٰطَ ٱلَّذِينَ أَنْعَمْتَ عَلَيْهِمْ غَيْرِ ٱلْمَغْضُوبِ عَلَيْهِمْ وَلَا ٱلضَّآلِّينَ

Swahili Translation - Rowad Translation CenterNjia ya wale uliowaneemesha. Siyo ya wale waliokasirikiwa, wala waliopotea.
Swahili Translation - Ali Mohsin Al-BarwaniNjia ya ulio waneemesha, siyo ya walio kasirikiwa, wala walio potea.
Unatafuta mada? Jaribu utafutaji wa maana — swali lako hutafutwa katika aya zote 6,236.
Lugha — 70