caseriqUtafutaji wa maana katika Qur'ani

Sura Al-Faatiha, Aya 5

Makka · mpangilio wa kuteremshwa 5 · 1:5

إِيَّاكَ نَعْبُدُ وَإِيَّاكَ نَسْتَعِينُ

Swahili Translation - Rowad Translation CenterNi Wewe tu tunayeabudu, na ni Wewe tu tunayeomba msaada.
Swahili Translation - Ali Mohsin Al-BarwaniWewe tu tunakuabudu, na wewe tu tunakuomba msaada.
Unatafuta mada? Jaribu utafutaji wa maana — swali lako hutafutwa katika aya zote 6,236.
Lugha — 70