Sura At-Tin التين
Aya 8 · Makka · mpangilio wa kuteremshwa 28
بِّسْمِ ٱللَّهِ ٱلرَّحْمَٰنِ ٱلرَّحِيمِ وَٱلتِّينِ وَٱلزَّيْتُونِ
Swahili Translation - Rowad Translation CenterNinaapa kwa tini na zaituni!
Tazama tafsiri zote za aya hii →
وَطُورِ سِينِينَ
Swahili Translation - Rowad Translation CenterNa kwa Mlima wa Sinai!
Tazama tafsiri zote za aya hii →
وَهَٰذَا ٱلْبَلَدِ ٱلْأَمِينِ
Swahili Translation - Rowad Translation CenterNa kwa Mji huu wenye amani mno!
Tazama tafsiri zote za aya hii →
لَقَدْ خَلَقْنَا ٱلْإِنسَٰنَ فِىٓ أَحْسَنِ تَقْوِيمٍ
Swahili Translation - Rowad Translation CenterBila ya shaka tumemuumba mtu kwa umbo lilio bora kabisa.
Tazama tafsiri zote za aya hii →
ثُمَّ رَدَدْنَٰهُ أَسْفَلَ سَٰفِلِينَ
Swahili Translation - Rowad Translation CenterKisha tukamrudisha kuwa chini kuliko walio chini!
Tazama tafsiri zote za aya hii →
إِلَّا ٱلَّذِينَ ءَامَنُوا۟ وَعَمِلُوا۟ ٱلصَّٰلِحَٰتِ فَلَهُمْ أَجْرٌ غَيْرُ مَمْنُونٍ
Swahili Translation - Rowad Translation CenterIsipokuwa wale walioamini na wakatenda mema, hao watapata ujira usiokwisha.
Tazama tafsiri zote za aya hii →
فَمَا يُكَذِّبُكَ بَعْدُ بِٱلدِّينِ
Swahili Translation - Rowad Translation CenterBasi ni kipi baadaye kitakachokukukadhibishia malipo?
Tazama tafsiri zote za aya hii →
أَلَيْسَ ٱللَّهُ بِأَحْكَمِ ٱلْحَٰكِمِينَ
Swahili Translation - Rowad Translation CenterKwani Mwenyezi Mungu si muadilifu zaidi kuliko wote wanaohukumu?
Tazama tafsiri zote za aya hii →
Unatafuta mada? Jaribu utafutaji wa maana — swali lako hutafutwa katika aya zote 6,236.
→