caseriqUtafutaji wa maana katika Qur'ani

Sura Ash-Sharh الشرح

Aya 8 · Makka · mpangilio wa kuteremshwa 12

بِسْمِ ٱللَّهِ ٱلرَّحْمَٰنِ ٱلرَّحِيمِ أَلَمْ نَشْرَحْ لَكَ صَدْرَكَ

Swahili Translation - Rowad Translation CenterHatukukunjulia kifua chako?

Tazama tafsiri zote za aya hii →

وَوَضَعْنَا عَنكَ وِزْرَكَ

Swahili Translation - Rowad Translation CenterNa tukakuondolea mzigo wako.

Tazama tafsiri zote za aya hii →

ٱلَّذِىٓ أَنقَضَ ظَهْرَكَ

Swahili Translation - Rowad Translation CenterUliovunja mgongo wako?

Tazama tafsiri zote za aya hii →

وَرَفَعْنَا لَكَ ذِكْرَكَ

Swahili Translation - Rowad Translation CenterNa tukakunyanyulia utajo wako?

Tazama tafsiri zote za aya hii →

فَإِنَّ مَعَ ٱلْعُسْرِ يُسْرًا

Swahili Translation - Rowad Translation CenterBasi kwa hakika pamoja na uzito upo wepesi.

Tazama tafsiri zote za aya hii →

إِنَّ مَعَ ٱلْعُسْرِ يُسْرًا

Swahili Translation - Rowad Translation CenterHakika pamoja na uzito upo wepesi.

Tazama tafsiri zote za aya hii →

فَإِذَا فَرَغْتَ فَٱنصَبْ

Swahili Translation - Rowad Translation CenterNa ukipata faragha, fanya juhudi.

Tazama tafsiri zote za aya hii →

وَإِلَىٰ رَبِّكَ فَٱرْغَب

Swahili Translation - Rowad Translation CenterNa Mola wako Mlezi ndio mshughulikie.

Tazama tafsiri zote za aya hii →

Unatafuta mada? Jaribu utafutaji wa maana — swali lako hutafutwa katika aya zote 6,236.
Lugha — 70