لَقَدْ خَلَقْنَا ٱلْإِنسَٰنَ فِىٓ أَحْسَنِ تَقْوِيمٍ
Swahili Translation - Rowad Translation CenterBila ya shaka tumemuumba mtu kwa umbo lilio bora kabisa.
Swahili Translation - Ali Mohsin Al-BarwaniBila ya shaka tumemuumba mtu kwa umbo lilio bora kabisa.