caseriqUtafutaji wa maana katika Qur'ani

Sura At-Tin, Aya 6

Makka · mpangilio wa kuteremshwa 28 · 95:6

إِلَّا ٱلَّذِينَ ءَامَنُوا۟ وَعَمِلُوا۟ ٱلصَّٰلِحَٰتِ فَلَهُمْ أَجْرٌ غَيْرُ مَمْنُونٍ

Swahili Translation - Rowad Translation CenterIsipokuwa wale walioamini na wakatenda mema, hao watapata ujira usiokwisha.
Swahili Translation - Ali Mohsin Al-BarwaniLakini wale walio amini na wakatenda mema, hao watapata ujira usio kwisha.
Unatafuta mada? Jaribu utafutaji wa maana — swali lako hutafutwa katika aya zote 6,236.
Lugha — 70