caseriqUtafutaji wa maana katika Qur'ani

Sura At-Tin, Aya 7

Makka · mpangilio wa kuteremshwa 28 · 95:7

فَمَا يُكَذِّبُكَ بَعْدُ بِٱلدِّينِ

Swahili Translation - Rowad Translation CenterBasi ni kipi baadaye kitakachokukukadhibishia malipo?
Swahili Translation - Ali Mohsin Al-BarwaniBasi ni kipi baadaye kitacho kukukadhibishia malipo?
Unatafuta mada? Jaribu utafutaji wa maana — swali lako hutafutwa katika aya zote 6,236.
Lugha — 70