caseriqUtafutaji wa maana katika Qur'ani

Sura Ad-Dhuhaa الضحى

Aya 11 · Makka · mpangilio wa kuteremshwa 11

بِسْمِ ٱللَّهِ ٱلرَّحْمَٰنِ ٱلرَّحِيمِ وَٱلضُّحَىٰ

Swahili Translation - Rowad Translation CenterNinaapa kwa wakati wa kabla ya adhuhuri!

Tazama tafsiri zote za aya hii →

وَٱلَّيْلِ إِذَا سَجَىٰ

Swahili Translation - Rowad Translation CenterNa kwa usiku unapotanda!

Tazama tafsiri zote za aya hii →

مَا وَدَّعَكَ رَبُّكَ وَمَا قَلَىٰ

Swahili Translation - Rowad Translation CenterMola wako Mlezi hakukuacha, wala hakukasirika nawe.

Tazama tafsiri zote za aya hii →

وَلَلْـَٔاخِرَةُ خَيْرٌ لَّكَ مِنَ ٱلْأُولَىٰ

Swahili Translation - Rowad Translation CenterNa bila ya shaka wakati ujao utakuwa bora kwako kuliko uliotangulia.

Tazama tafsiri zote za aya hii →

وَلَسَوْفَ يُعْطِيكَ رَبُّكَ فَتَرْضَىٰٓ

Swahili Translation - Rowad Translation CenterNa Mola wako Mlezi atakupa mpaka uridhike.

Tazama tafsiri zote za aya hii →

أَلَمْ يَجِدْكَ يَتِيمًا فَـَٔاوَىٰ

Swahili Translation - Rowad Translation CenterKwani hakukukuta yatima, akakupa makazi?

Tazama tafsiri zote za aya hii →

وَوَجَدَكَ ضَآلًّا فَهَدَىٰ

Swahili Translation - Rowad Translation CenterNa akakukuta umepotea, akakuongoa?

Tazama tafsiri zote za aya hii →

وَوَجَدَكَ عَآئِلًا فَأَغْنَىٰ

Swahili Translation - Rowad Translation CenterAkakukuta mhitaji akakutosheleza?

Tazama tafsiri zote za aya hii →

فَأَمَّا ٱلْيَتِيمَ فَلَا تَقْهَرْ

Swahili Translation - Rowad Translation CenterBasi yatima usimwonee!

Tazama tafsiri zote za aya hii →

وَأَمَّا ٱلسَّآئِلَ فَلَا تَنْهَرْ

Swahili Translation - Rowad Translation CenterNa anayeomba au kuuliza usimkaripie!

Tazama tafsiri zote za aya hii →

وَأَمَّا بِنِعْمَةِ رَبِّكَ فَحَدِّثْ

Swahili Translation - Rowad Translation CenterNa neema za Mola wako Mlezi zisimulie.

Tazama tafsiri zote za aya hii →

Unatafuta mada? Jaribu utafutaji wa maana — swali lako hutafutwa katika aya zote 6,236.
Lugha — 70