caseriqUtafutaji wa maana katika Qur'ani

Sura Ad-Dhuhaa, Aya 3

Makka · mpangilio wa kuteremshwa 11 · 93:3

مَا وَدَّعَكَ رَبُّكَ وَمَا قَلَىٰ

Swahili Translation - Rowad Translation CenterMola wako Mlezi hakukuacha, wala hakukasirika nawe.
Swahili Translation - Ali Mohsin Al-BarwaniMola wako Mlezi hakukuacha, wala hakukasirika nawe.
Unatafuta mada? Jaribu utafutaji wa maana — swali lako hutafutwa katika aya zote 6,236.
Lugha — 70