Sura Al-Aadiyaat العاديات
Aya 11 · Makka · mpangilio wa kuteremshwa 14
بِسْمِ ٱللَّهِ ٱلرَّحْمَٰنِ ٱلرَّحِيمِ وَٱلْعَٰدِيَٰتِ ضَبْحًا
Swahili Translation - Rowad Translation CenterNinaapa kwa farasi waendao mbio wakipumua.
Tazama tafsiri zote za aya hii →
فَٱلْمُورِيَٰتِ قَدْحًا
Swahili Translation - Rowad Translation CenterNa wakitoa moto kwa kupiga kwato zao chini.
Tazama tafsiri zote za aya hii →
فَٱلْمُغِيرَٰتِ صُبْحًا
Swahili Translation - Rowad Translation CenterWakishambulia wakati wa asubuhi.
Tazama tafsiri zote za aya hii →
فَأَثَرْنَ بِهِۦ نَقْعًا
Swahili Translation - Rowad Translation CenterHuku wakitimua vumbi.
Tazama tafsiri zote za aya hii →
فَوَسَطْنَ بِهِۦ جَمْعًا
Swahili Translation - Rowad Translation CenterNa wakijitoma kati ya kundi.
Tazama tafsiri zote za aya hii →
إِنَّ ٱلْإِنسَٰنَ لِرَبِّهِۦ لَكَنُودٌ
Swahili Translation - Rowad Translation CenterHakika mwanadamu ni mtovu wa fadhila kwa Mola wake Mlezi!
Tazama tafsiri zote za aya hii →
وَإِنَّهُۥ عَلَىٰ ذَٰلِكَ لَشَهِيدٌ
Swahili Translation - Rowad Translation CenterNa hakika yeye mwenyewe bila ya shaka ni shahidi wa hayo!
Tazama tafsiri zote za aya hii →
وَإِنَّهُۥ لِحُبِّ ٱلْخَيْرِ لَشَدِيدٌ
Swahili Translation - Rowad Translation CenterNaye hakika bila ya shaka ana nguvu za kupenda mali!
Tazama tafsiri zote za aya hii →
أَفَلَا يَعْلَمُ إِذَا بُعْثِرَ مَا فِى ٱلْقُبُورِ
Swahili Translation - Rowad Translation CenterKwani hajui watakapofufuliwa waliomo makaburini?
Tazama tafsiri zote za aya hii →
وَحُصِّلَ مَا فِى ٱلصُّدُورِ
Swahili Translation - Rowad Translation CenterNa yakakusanywa yaliyomo vifuani?
Tazama tafsiri zote za aya hii →
إِنَّ رَبَّهُم بِهِمْ يَوْمَئِذٍ لَّخَبِيرٌۢ
Swahili Translation - Rowad Translation CenterHakika Mola wao Mlezi siku hiyo bila ya shaka atakuwa na habari zao wote!
Tazama tafsiri zote za aya hii →
Unatafuta mada? Jaribu utafutaji wa maana — swali lako hutafutwa katika aya zote 6,236.
→