caseriqUtafutaji wa maana katika Qur'ani

Sura Al-Qaari'a القارعة

Aya 11 · Makka · mpangilio wa kuteremshwa 30

بِسْمِ ٱللَّهِ ٱلرَّحْمَٰنِ ٱلرَّحِيمِ ٱلْقَارِعَةُ

Swahili Translation - Rowad Translation CenterInayogonga!

Tazama tafsiri zote za aya hii →

مَا ٱلْقَارِعَةُ

Swahili Translation - Rowad Translation CenterNi nini inayogonga?

Tazama tafsiri zote za aya hii →

وَمَآ أَدْرَىٰكَ مَا ٱلْقَارِعَةُ

Swahili Translation - Rowad Translation CenterNa ni nini kitachokujulisha ni nini inayogonga?

Tazama tafsiri zote za aya hii →

يَوْمَ يَكُونُ ٱلنَّاسُ كَٱلْفَرَاشِ ٱلْمَبْثُوثِ

Swahili Translation - Rowad Translation CenterSiku ambayo watu watakuwa kama nondo waliotawanywa;

Tazama tafsiri zote za aya hii →

وَتَكُونُ ٱلْجِبَالُ كَٱلْعِهْنِ ٱلْمَنفُوشِ

Swahili Translation - Rowad Translation CenterNa milima itakuwa kama sufu zilizochambuliwa!

Tazama tafsiri zote za aya hii →

فَأَمَّا مَن ثَقُلَتْ مَوَٰزِينُهُۥ

Swahili Translation - Rowad Translation CenterBasi yule ambaye mizani yake itakuwa nzito.

Tazama tafsiri zote za aya hii →

فَهُوَ فِى عِيشَةٍ رَّاضِيَةٍ

Swahili Translation - Rowad Translation CenterHuyo atakuwa katika maisha ya kupendeza.

Tazama tafsiri zote za aya hii →

وَأَمَّا مَنْ خَفَّتْ مَوَٰزِينُهُۥ

Swahili Translation - Rowad Translation CenterNa yule ambaye mizani zake zitakuwa hafifu.

Tazama tafsiri zote za aya hii →

فَأُمُّهُۥ هَاوِيَةٌ

Swahili Translation - Rowad Translation CenterHuyo maskani yake yatakuwa Moto wa Hawiya!

Tazama tafsiri zote za aya hii →

وَمَآ أَدْرَىٰكَ مَا هِيَهْ

Swahili Translation - Rowad Translation CenterNa ni nini kitachokujulisha ni nini hiyo?

Tazama tafsiri zote za aya hii →

نَارٌ حَامِيَةٌۢ

Swahili Translation - Rowad Translation CenterNi Moto mkali!

Tazama tafsiri zote za aya hii →

Unatafuta mada? Jaribu utafutaji wa maana — swali lako hutafutwa katika aya zote 6,236.
Lugha — 70