caseriqUtafutaji wa maana katika Qur'ani

Sura Al-Aadiyaat, Aya 11

Makka · mpangilio wa kuteremshwa 14 · 100:11

إِنَّ رَبَّهُم بِهِمْ يَوْمَئِذٍ لَّخَبِيرٌۢ

Swahili Translation - Rowad Translation CenterHakika Mola wao Mlezi siku hiyo bila ya shaka atakuwa na habari zao wote!
Swahili Translation - Ali Mohsin Al-BarwaniKuwa hakika Mola wao Mlezi siku hiyo bila ya shaka atakuwa na khabari zao wote!
Unatafuta mada? Jaribu utafutaji wa maana — swali lako hutafutwa katika aya zote 6,236.
Lugha — 70