Sura Az-Zalzala الزلزلة
Aya 8 · Madina · mpangilio wa kuteremshwa 93
بِسْمِ ٱللَّهِ ٱلرَّحْمَٰنِ ٱلرَّحِيمِ إِذَا زُلْزِلَتِ ٱلْأَرْضُ زِلْزَالَهَا
Swahili Translation - Rowad Translation CenterItakapotetemeshwa ardhi kwa mtetemeko wake!
Tazama tafsiri zote za aya hii →
وَأَخْرَجَتِ ٱلْأَرْضُ أَثْقَالَهَا
Swahili Translation - Rowad Translation CenterNa itakapotoa ardhi mizigo yake!
Tazama tafsiri zote za aya hii →
وَقَالَ ٱلْإِنسَٰنُ مَا لَهَا
Swahili Translation - Rowad Translation CenterNa mtu akasema: "Ina nini?"
Tazama tafsiri zote za aya hii →
يَوْمَئِذٍ تُحَدِّثُ أَخْبَارَهَا
Swahili Translation - Rowad Translation CenterSiku hiyo itahadithia habari zake.
Tazama tafsiri zote za aya hii →
بِأَنَّ رَبَّكَ أَوْحَىٰ لَهَا
Swahili Translation - Rowad Translation CenterKwa sababu Mola wake Mlezi ameifunulia!
Tazama tafsiri zote za aya hii →
يَوْمَئِذٍ يَصْدُرُ ٱلنَّاسُ أَشْتَاتًا لِّيُرَوْا۟ أَعْمَٰلَهُمْ
Swahili Translation - Rowad Translation CenterSiku hiyo watu watatoka kwa mfarakano wakaonyweshwe vitendo vyao!
Tazama tafsiri zote za aya hii →
فَمَن يَعْمَلْ مِثْقَالَ ذَرَّةٍ خَيْرًا يَرَهُۥ
Swahili Translation - Rowad Translation CenterBasi anayetenda chembe ya wema, atauona!
Tazama tafsiri zote za aya hii →
وَمَن يَعْمَلْ مِثْقَالَ ذَرَّةٍ شَرًّا يَرَهُۥ
Swahili Translation - Rowad Translation CenterNa anayetenda chembe ya uovu, atauona!
Tazama tafsiri zote za aya hii →
Unatafuta mada? Jaribu utafutaji wa maana — swali lako hutafutwa katika aya zote 6,236.
→