caseriqUtafutaji wa maana katika Qur'ani

Sura Al-Qaari'a, Aya 5

Makka · mpangilio wa kuteremshwa 30 · 101:5

وَتَكُونُ ٱلْجِبَالُ كَٱلْعِهْنِ ٱلْمَنفُوشِ

Swahili Translation - Rowad Translation CenterNa milima itakuwa kama sufu zilizochambuliwa!
Swahili Translation - Ali Mohsin Al-BarwaniNa milima itakuwa kama sufi zilizo chambuliwa!
Unatafuta mada? Jaribu utafutaji wa maana — swali lako hutafutwa katika aya zote 6,236.
Lugha — 70