Sura An-Naas الناس
Aya 6 · Makka · mpangilio wa kuteremshwa 21
بِسْمِ ٱللَّهِ ٱلرَّحْمَٰنِ ٱلرَّحِيمِ قُلْ أَعُوذُ بِرَبِّ ٱلنَّاسِ
Swahili Translation - Rowad Translation CenterSema: Ninajikinga kwa Mola Mlezi wa watu.
Tazama tafsiri zote za aya hii →
مَلِكِ ٱلنَّاسِ
Swahili Translation - Rowad Translation CenterMfalme wa watu.
Tazama tafsiri zote za aya hii →
إِلَٰهِ ٱلنَّاسِ
Swahili Translation - Rowad Translation CenterMungu wa watu.
Tazama tafsiri zote za aya hii →
مِن شَرِّ ٱلْوَسْوَاسِ ٱلْخَنَّاسِ
Swahili Translation - Rowad Translation CenterKutokana na uovu wa Shetani mtia wasiwasi, ajifichaye mno (Al-Khannaas).
Tazama tafsiri zote za aya hii →
ٱلَّذِى يُوَسْوِسُ فِى صُدُورِ ٱلنَّاسِ
Swahili Translation - Rowad Translation CenterAnayetia wasiwasi katika vifua vya watu.
Tazama tafsiri zote za aya hii →
مِنَ ٱلْجِنَّةِ وَٱلنَّاسِ
Swahili Translation - Rowad Translation CenterKutokana na majini na watu.
Tazama tafsiri zote za aya hii →
Unatafuta mada? Jaribu utafutaji wa maana — swali lako hutafutwa katika aya zote 6,236.
→