caseriqUtafutaji wa maana katika Qur'ani

Sura Al-Falaq الفلق

Aya 5 · Makka · mpangilio wa kuteremshwa 20

بِسْمِ ٱللَّهِ ٱلرَّحْمَٰنِ ٱلرَّحِيمِ قُلْ أَعُوذُ بِرَبِّ ٱلْفَلَقِ

Swahili Translation - Rowad Translation CenterSema: Ninajikinga kwa Mola Mlezi wa mapambazuko.

Tazama tafsiri zote za aya hii →

مِن شَرِّ مَا خَلَقَ

Swahili Translation - Rowad Translation CenterKutokana na uovu wa alivyoviumba.

Tazama tafsiri zote za aya hii →

وَمِن شَرِّ غَاسِقٍ إِذَا وَقَبَ

Swahili Translation - Rowad Translation CenterNa kutokana na uovu wa giza la usiku liingiapo.

Tazama tafsiri zote za aya hii →

وَمِن شَرِّ ٱلنَّفَّٰثَٰتِ فِى ٱلْعُقَدِ

Swahili Translation - Rowad Translation CenterNa kutokana na uovu wa wanaopuliza mafundoni.

Tazama tafsiri zote za aya hii →

وَمِن شَرِّ حَاسِدٍ إِذَا حَسَدَ

Swahili Translation - Rowad Translation CenterNa kutokana na uovu wa mwenye husuda anapohusudu.

Tazama tafsiri zote za aya hii →

Unatafuta mada? Jaribu utafutaji wa maana — swali lako hutafutwa katika aya zote 6,236.
Lugha — 70