caseriqUtafutaji wa maana katika Qur'ani

Sura An-Naas, Aya 1

Makka · mpangilio wa kuteremshwa 21 · 114:1

بِسْمِ ٱللَّهِ ٱلرَّحْمَٰنِ ٱلرَّحِيمِ قُلْ أَعُوذُ بِرَبِّ ٱلنَّاسِ

Swahili Translation - Rowad Translation CenterSema: Ninajikinga kwa Mola Mlezi wa watu.
Swahili Translation - Ali Mohsin Al-BarwaniSema: Ninajikinga kwa Mola Mlezi wa wanaadamu,
Unatafuta mada? Jaribu utafutaji wa maana — swali lako hutafutwa katika aya zote 6,236.
Lugha — 70