Sura Al-Masad المسد
Aya 5 · Makka · mpangilio wa kuteremshwa 6
بِسْمِ ٱللَّهِ ٱلرَّحْمَٰنِ ٱلرَّحِيمِ تَبَّتْ يَدَآ أَبِى لَهَبٍ وَتَبَّ
Swahili Translation - Rowad Translation CenterImeangamia mikono ya Abu Lahab, na yeye pia ameangamia.
Tazama tafsiri zote za aya hii →
مَآ أَغْنَىٰ عَنْهُ مَالُهُۥ وَمَا كَسَبَ
Swahili Translation - Rowad Translation CenterHaitamfaa mali yake, wala alivyovichuma.
Tazama tafsiri zote za aya hii →
سَيَصْلَىٰ نَارًا ذَاتَ لَهَبٍ
Swahili Translation - Rowad Translation CenterAtauingia Moto wenye mwako mkali.
Tazama tafsiri zote za aya hii →
وَٱمْرَأَتُهُۥ حَمَّالَةَ ٱلْحَطَبِ
Swahili Translation - Rowad Translation CenterNa mkewe, mchukuzi mkubwa wa kuni.
Tazama tafsiri zote za aya hii →
فِى جِيدِهَا حَبْلٌ مِّن مَّسَدٍۭ
Swahili Translation - Rowad Translation CenterShingoni mwake iko kamba iliyosokotwa sawasawa.
Tazama tafsiri zote za aya hii →
Unatafuta mada? Jaribu utafutaji wa maana — swali lako hutafutwa katika aya zote 6,236.
→