caseriqUtafutaji wa maana katika Qur'ani

Sura Al-Ikhlaas الإخلاص

Aya 4 · Makka · mpangilio wa kuteremshwa 22

بِسْمِ ٱللَّهِ ٱلرَّحْمَٰنِ ٱلرَّحِيمِ قُلْ هُوَ ٱللَّهُ أَحَدٌ

Swahili Translation - Rowad Translation CenterSema: Yeye Mwenyezi Mungu ni wa Pekee.

Tazama tafsiri zote za aya hii →

ٱللَّهُ ٱلصَّمَدُ

Swahili Translation - Rowad Translation CenterMwenyezi Mungu ndiye Mkusudiwa.

Tazama tafsiri zote za aya hii →

لَمْ يَلِدْ وَلَمْ يُولَدْ

Swahili Translation - Rowad Translation CenterHakuzaa wala hakuzaliwa.

Tazama tafsiri zote za aya hii →

وَلَمْ يَكُن لَّهُۥ كُفُوًا أَحَدٌۢ

Swahili Translation - Rowad Translation CenterWala hana anayelingana naye hata mmoja.

Tazama tafsiri zote za aya hii →

Unatafuta mada? Jaribu utafutaji wa maana — swali lako hutafutwa katika aya zote 6,236.
Lugha — 70