Sura An-Nasr النصر
Aya 3 · Madina · mpangilio wa kuteremshwa 114
بِسْمِ ٱللَّهِ ٱلرَّحْمَٰنِ ٱلرَّحِيمِ إِذَا جَآءَ نَصْرُ ٱللَّهِ وَٱلْفَتْحُ
Swahili Translation - Rowad Translation CenterItakapokuja nusura ya Mwenyezi Mungu na ushindi.
Tazama tafsiri zote za aya hii →
وَرَأَيْتَ ٱلنَّاسَ يَدْخُلُونَ فِى دِينِ ٱللَّهِ أَفْوَاجًا
Swahili Translation - Rowad Translation CenterNa ukaona watu wanaingia katika Dini ya Mwenyezi Mungu kwa makundi.
Tazama tafsiri zote za aya hii →
فَسَبِّحْ بِحَمْدِ رَبِّكَ وَٱسْتَغْفِرْهُ إِنَّهُۥ كَانَ تَوَّابًۢا
Swahili Translation - Rowad Translation CenterBasi zitakase sifa za Mola wako Mlezi, na umwombe msamaha. Hakika Yeye ndiye anayepokea toba mno.
Tazama tafsiri zote za aya hii →
Unatafuta mada? Jaribu utafutaji wa maana — swali lako hutafutwa katika aya zote 6,236.
→