بِسْمِ ٱللَّهِ ٱلرَّحْمَٰنِ ٱلرَّحِيمِ تَبَّتْ يَدَآ أَبِى لَهَبٍ وَتَبَّ
Swahili Translation - Rowad Translation CenterImeangamia mikono ya Abu Lahab, na yeye pia ameangamia.
Swahili Translation - Ali Mohsin Al-BarwaniImeangamia mikono ya Abu Lahab, na yeye pia ameangamia.