caseriqUtafutaji wa maana katika Qur'ani

Sura Al-Masad, Aya 2

Makka · mpangilio wa kuteremshwa 6 · 111:2

مَآ أَغْنَىٰ عَنْهُ مَالُهُۥ وَمَا كَسَبَ

Swahili Translation - Rowad Translation CenterHaitamfaa mali yake, wala alivyovichuma.
Swahili Translation - Ali Mohsin Al-BarwaniHayatamfaa mali yake, wala alivyo vichuma.
Unatafuta mada? Jaribu utafutaji wa maana — swali lako hutafutwa katika aya zote 6,236.
Lugha — 70