caseriqUtafutaji wa maana katika Qur'ani

Sura Al-Humaza الهمزة

Aya 9 · Makka · mpangilio wa kuteremshwa 32

بِسْمِ ٱللَّهِ ٱلرَّحْمَٰنِ ٱلرَّحِيمِ وَيْلٌ لِّكُلِّ هُمَزَةٍ لُّمَزَةٍ

Swahili Translation - Rowad Translation CenterOle wake kila anayewakejeli watu kwa ishara na maneno.

Tazama tafsiri zote za aya hii →

ٱلَّذِى جَمَعَ مَالًا وَعَدَّدَهُۥ

Swahili Translation - Rowad Translation CenterAliyekusanya mali na kuihesabu.

Tazama tafsiri zote za aya hii →

يَحْسَبُ أَنَّ مَالَهُۥٓ أَخْلَدَهُۥ

Swahili Translation - Rowad Translation CenterAnadhani ya kuwa mali yake itambakisha milele!

Tazama tafsiri zote za aya hii →

كَلَّا لَيُنۢبَذَنَّ فِى ٱلْحُطَمَةِ

Swahili Translation - Rowad Translation CenterHasha! Hakika atavurumishwa katika Hutwama.

Tazama tafsiri zote za aya hii →

وَمَآ أَدْرَىٰكَ مَا ٱلْحُطَمَةُ

Swahili Translation - Rowad Translation CenterNa ni nini kitakachokujulisha ni nini Hutwama?

Tazama tafsiri zote za aya hii →

نَارُ ٱللَّهِ ٱلْمُوقَدَةُ

Swahili Translation - Rowad Translation CenterNi Moto wa Mwenyezi Mungu uliowashwa.

Tazama tafsiri zote za aya hii →

ٱلَّتِى تَطَّلِعُ عَلَى ٱلْأَفْـِٔدَةِ

Swahili Translation - Rowad Translation CenterAmbao unapanda nyoyoni.

Tazama tafsiri zote za aya hii →

إِنَّهَا عَلَيْهِم مُّؤْصَدَةٌ

Swahili Translation - Rowad Translation CenterHakika huo utafungwa sawasawa nao wako ndani yake.

Tazama tafsiri zote za aya hii →

فِى عَمَدٍ مُّمَدَّدَةٍۭ

Swahili Translation - Rowad Translation CenterKwenye nguzo zilizonyooshwa.

Tazama tafsiri zote za aya hii →

Unatafuta mada? Jaribu utafutaji wa maana — swali lako hutafutwa katika aya zote 6,236.
Lugha — 70