caseriqUtafutaji wa maana katika Qur'ani

Sura Al-Asr العصر

Aya 3 · Makka · mpangilio wa kuteremshwa 13

بِسْمِ ٱللَّهِ ٱلرَّحْمَٰنِ ٱلرَّحِيمِ وَٱلْعَصْرِ

Swahili Translation - Rowad Translation CenterNinaapa kwa Zama!

Tazama tafsiri zote za aya hii →

إِنَّ ٱلْإِنسَٰنَ لَفِى خُسْرٍ

Swahili Translation - Rowad Translation CenterHakika binadamu bila ya shaka yuko katika hasara.

Tazama tafsiri zote za aya hii →

إِلَّا ٱلَّذِينَ ءَامَنُوا۟ وَعَمِلُوا۟ ٱلصَّٰلِحَٰتِ وَتَوَاصَوْا۟ بِٱلْحَقِّ وَتَوَاصَوْا۟ بِٱلصَّبْرِ

Swahili Translation - Rowad Translation CenterIla wale walioamini, na wakatenda mema, na wakausiana kwa haki, na wakausiana kusubiri.

Tazama tafsiri zote za aya hii →

Unatafuta mada? Jaribu utafutaji wa maana — swali lako hutafutwa katika aya zote 6,236.
Lugha — 70