caseriqUtafutaji wa maana katika Qur'ani

Sura Al-Fil الفيل

Aya 5 · Makka · mpangilio wa kuteremshwa 19

بِسْمِ ٱللَّهِ ٱلرَّحْمَٰنِ ٱلرَّحِيمِ أَلَمْ تَرَ كَيْفَ فَعَلَ رَبُّكَ بِأَصْحَٰبِ ٱلْفِيلِ

Swahili Translation - Rowad Translation CenterKwani hukuona jinsi Mola wako Mlezi alivyowafanya wale wenye tembo?

Tazama tafsiri zote za aya hii →

أَلَمْ يَجْعَلْ كَيْدَهُمْ فِى تَضْلِيلٍ

Swahili Translation - Rowad Translation CenterKwani hakufanya vitimbi vyao kuharibika?

Tazama tafsiri zote za aya hii →

وَأَرْسَلَ عَلَيْهِمْ طَيْرًا أَبَابِيلَ

Swahili Translation - Rowad Translation CenterNa akawatumia ndege makundi kwa makundi.

Tazama tafsiri zote za aya hii →

تَرْمِيهِم بِحِجَارَةٍ مِّن سِجِّيلٍ

Swahili Translation - Rowad Translation CenterWakiwatupia mawe ya udongo wa Motoni.

Tazama tafsiri zote za aya hii →

فَجَعَلَهُمْ كَعَصْفٍ مَّأْكُولٍۭ

Swahili Translation - Rowad Translation CenterAkawafanya kama majani yaliyoliwa!

Tazama tafsiri zote za aya hii →

Unatafuta mada? Jaribu utafutaji wa maana — swali lako hutafutwa katika aya zote 6,236.
Lugha — 70