caseriqUtafutaji wa maana katika Qur'ani

Sura Quraish قريش

Aya 4 · Makka · mpangilio wa kuteremshwa 29

بِسْمِ ٱللَّهِ ٱلرَّحْمَٰنِ ٱلرَّحِيمِ لِإِيلَٰفِ قُرَيْشٍ

Swahili Translation - Rowad Translation CenterKwa walivyozoea Maqureshi.

Tazama tafsiri zote za aya hii →

إِۦلَٰفِهِمْ رِحْلَةَ ٱلشِّتَآءِ وَٱلصَّيْفِ

Swahili Translation - Rowad Translation CenterKuzoea kwao safari za siku za baridi na siku za joto.

Tazama tafsiri zote za aya hii →

فَلْيَعْبُدُوا۟ رَبَّ هَٰذَا ٱلْبَيْتِ

Swahili Translation - Rowad Translation CenterBasi na wamuabudu Mola Mlezi wa Nyumba hii.

Tazama tafsiri zote za aya hii →

ٱلَّذِىٓ أَطْعَمَهُم مِّن جُوعٍ وَءَامَنَهُم مِّنْ خَوْفٍۭ

Swahili Translation - Rowad Translation CenterAmbaye anawalisha kutokana na njaa, na anawalinda kutokana na hofu.

Tazama tafsiri zote za aya hii →

Unatafuta mada? Jaribu utafutaji wa maana — swali lako hutafutwa katika aya zote 6,236.
Lugha — 70