caseriqUtafutaji wa maana katika Qur'ani

Sura Al-Fil, Aya 1

Makka · mpangilio wa kuteremshwa 19 · 105:1

بِسْمِ ٱللَّهِ ٱلرَّحْمَٰنِ ٱلرَّحِيمِ أَلَمْ تَرَ كَيْفَ فَعَلَ رَبُّكَ بِأَصْحَٰبِ ٱلْفِيلِ

Swahili Translation - Rowad Translation CenterKwani hukuona jinsi Mola wako Mlezi alivyowafanya wale wenye tembo?
Swahili Translation - Ali Mohsin Al-BarwaniKwani hukuona jinsi Mola wako Mlezi alivyo watenda wale wenye tembo?
Unatafuta mada? Jaribu utafutaji wa maana — swali lako hutafutwa katika aya zote 6,236.
Lugha — 70