إِلَّا ٱلَّذِينَ ءَامَنُوا۟ وَعَمِلُوا۟ ٱلصَّٰلِحَٰتِ وَتَوَاصَوْا۟ بِٱلْحَقِّ وَتَوَاصَوْا۟ بِٱلصَّبْرِ
Swahili Translation - Rowad Translation CenterIla wale walioamini, na wakatenda mema, na wakausiana kwa haki, na wakausiana kusubiri.
Swahili Translation - Ali Mohsin Al-BarwaniIla wale walio amini, na wakatenda mema, na wakausiana kwa haki, na wakausiana kusubiri.