caseriqUtafutaji wa maana katika Qur'ani

Sura Al-Qadr القدر

Aya 5 · Makka · mpangilio wa kuteremshwa 25

بِّسْمِ ٱللَّهِ ٱلرَّحْمَٰنِ ٱلرَّحِيمِ إِنَّآ أَنزَلْنَٰهُ فِى لَيْلَةِ ٱلْقَدْرِ

Swahili Translation - Rowad Translation CenterHakika Sisi tumeiteremsha Qur-ani katika Laylatul Qadri (Usiku wa Cheo Kitukufu).

Tazama tafsiri zote za aya hii →

وَمَآ أَدْرَىٰكَ مَا لَيْلَةُ ٱلْقَدْرِ

Swahili Translation - Rowad Translation CenterNa nini kitachokujulisha nini Laylatul Qadri?

Tazama tafsiri zote za aya hii →

لَيْلَةُ ٱلْقَدْرِ خَيْرٌ مِّنْ أَلْفِ شَهْرٍ

Swahili Translation - Rowad Translation CenterLaylatul Qadri ni bora kuliko miezi elfu.

Tazama tafsiri zote za aya hii →

تَنَزَّلُ ٱلْمَلَٰٓئِكَةُ وَٱلرُّوحُ فِيهَا بِإِذْنِ رَبِّهِم مِّن كُلِّ أَمْرٍ

Swahili Translation - Rowad Translation CenterHuteremka Malaika na Roho katika usiku huo kwa idhini ya Mola wao Mlezi kwa kila jambo.

Tazama tafsiri zote za aya hii →

سَلَٰمٌ هِىَ حَتَّىٰ مَطْلَعِ ٱلْفَجْرِ

Swahili Translation - Rowad Translation CenterAmani usiku huo mpaka mapambazuko ya alfajiri.

Tazama tafsiri zote za aya hii →

Unatafuta mada? Jaribu utafutaji wa maana — swali lako hutafutwa katika aya zote 6,236.
Lugha — 70