caseriqUtafutaji wa maana katika Qur'ani

Sura Al-Qadr, Aya 1

Makka · mpangilio wa kuteremshwa 25 · 97:1

بِّسْمِ ٱللَّهِ ٱلرَّحْمَٰنِ ٱلرَّحِيمِ إِنَّآ أَنزَلْنَٰهُ فِى لَيْلَةِ ٱلْقَدْرِ

Swahili Translation - Rowad Translation CenterHakika Sisi tumeiteremsha Qur-ani katika Laylatul Qadri (Usiku wa Cheo Kitukufu).
Swahili Translation - Ali Mohsin Al-BarwaniHakika Sisi tumeiteremsha Qur'ani katika Laylatul Qadri, Usiku wa Cheo Kitukufu.
Unatafuta mada? Jaribu utafutaji wa maana — swali lako hutafutwa katika aya zote 6,236.
Lugha — 70