caseriqUtafutaji wa maana katika Qur'ani

Sura Maryam, Aya 80

Makka · mpangilio wa kuteremshwa 44 · 19:80

وَنَرِثُهُۥ مَا يَقُولُ وَيَأْتِينَا فَرْدًا

Swahili Translation - Rowad Translation CenterNa tutamrithi hayo anayoyasema, na atatujia mtupu peke yake!
Swahili Translation - Ali Mohsin Al-BarwaniNa tutamrithi hayo anayo yasema, na atatufikia mtupu peke yake!
Unatafuta mada? Jaribu utafutaji wa maana — swali lako hutafutwa katika aya zote 6,236.
Lugha — 70