caseriqUtafutaji wa maana katika Qur'ani

Sura Maryam, Aya 79

Makka · mpangilio wa kuteremshwa 44 · 19:79

كَلَّا سَنَكْتُبُ مَا يَقُولُ وَنَمُدُّ لَهُۥ مِنَ ٱلْعَذَابِ مَدًّا

Swahili Translation - Rowad Translation CenterHasha! Tutaandika anayoyasema, na tutamuongezea sawasawa katika adhabu.
Swahili Translation - Ali Mohsin Al-BarwaniHasha! Tutaandika anayo yasema, tutamkunjulia muda wa adhabu.
Unatafuta mada? Jaribu utafutaji wa maana — swali lako hutafutwa katika aya zote 6,236.
Lugha — 70