caseriqUtafutaji wa maana katika Qur'ani

Sura Maryam, Aya 81

Makka · mpangilio wa kuteremshwa 44 · 19:81

وَٱتَّخَذُوا۟ مِن دُونِ ٱللَّهِ ءَالِهَةً لِّيَكُونُوا۟ لَهُمْ عِزًّا

Swahili Translation - Rowad Translation CenterNa walichukua miungu mingine badala ya Mwenyezi Mungu ili ati iwape nguvu.
Swahili Translation - Ali Mohsin Al-BarwaniNa wamechukua miungu mingine badala ya Mwenyezi Mungu ili ati iwape nguvu.
Unatafuta mada? Jaribu utafutaji wa maana — swali lako hutafutwa katika aya zote 6,236.
Lugha — 70