وَرَأَيْتَ ٱلنَّاسَ يَدْخُلُونَ فِى دِينِ ٱللَّهِ أَفْوَاجًا
Swahili Translation - Rowad Translation CenterNa ukaona watu wanaingia katika Dini ya Mwenyezi Mungu kwa makundi.
Swahili Translation - Ali Mohsin Al-BarwaniNa ukaona watu wanaingia katika Dini ya Mwenyezi Mungu kwa makundi,