caseriqUtafutaji wa maana katika Qur'ani

Sura An-Nasr, Aya 3

Madina · mpangilio wa kuteremshwa 114 · 110:3

فَسَبِّحْ بِحَمْدِ رَبِّكَ وَٱسْتَغْفِرْهُ إِنَّهُۥ كَانَ تَوَّابًۢا

Swahili Translation - Rowad Translation CenterBasi zitakase sifa za Mola wako Mlezi, na umwombe msamaha. Hakika Yeye ndiye anayepokea toba mno.
Swahili Translation - Ali Mohsin Al-BarwaniZitakase sifa za Mola wako Mlezi, na umwombe msamaha; hakika Yeye ndiye anaye pokea toba.
Unatafuta mada? Jaribu utafutaji wa maana — swali lako hutafutwa katika aya zote 6,236.
Lugha — 70