Sura Al-Kawthar الكوثر
Aya 3 · Makka · mpangilio wa kuteremshwa 15
بِسْمِ ٱللَّهِ ٱلرَّحْمَٰنِ ٱلرَّحِيمِ إِنَّآ أَعْطَيْنَٰكَ ٱلْكَوْثَرَ
Swahili Translation - Rowad Translation CenterHakika tumekupa Al-Kawthar (heri nyingi).
Tazama tafsiri zote za aya hii →
فَصَلِّ لِرَبِّكَ وَٱنْحَرْ
Swahili Translation - Rowad Translation CenterBasi swali na uchinje kwa ajili ya Mola wako Mlezi.
Tazama tafsiri zote za aya hii →
إِنَّ شَانِئَكَ هُوَ ٱلْأَبْتَرُ
Swahili Translation - Rowad Translation CenterHakika anayekuchukia ndiye aliye mpungufu mno.
Tazama tafsiri zote za aya hii →
Unatafuta mada? Jaribu utafutaji wa maana — swali lako hutafutwa katika aya zote 6,236.
→