caseriqUtafutaji wa maana katika Qur'ani

Sura Al-Kawthar, Aya 3

Makka · mpangilio wa kuteremshwa 15 · 108:3

إِنَّ شَانِئَكَ هُوَ ٱلْأَبْتَرُ

Swahili Translation - Rowad Translation CenterHakika anayekuchukia ndiye aliye mpungufu mno.
Swahili Translation - Ali Mohsin Al-BarwaniHakika anaye kuchukia ndiye aliye mpungufu.
Unatafuta mada? Jaribu utafutaji wa maana — swali lako hutafutwa katika aya zote 6,236.
Lugha — 70