caseriqUtafutaji wa maana katika Qur'ani

Sura As-Saaffaat, Aya 56

Makka · mpangilio wa kuteremshwa 56 · 37:56

قَالَ تَٱللَّهِ إِن كِدتَّ لَتُرْدِينِ

Swahili Translation - Rowad Translation CenterAtasema: Wallahi! (Naapa kwa jina la Mwenyezi Mungu) Ulikaribia sana kunipoteza.
Swahili Translation - Ali Mohsin Al-BarwaniAtasema: Wallahi! Ulikaribia kunipoteza.
Unatafuta mada? Jaribu utafutaji wa maana — swali lako hutafutwa katika aya zote 6,236.
Lugha — 70