caseriqUtafutaji wa maana katika Qur'ani

Sura As-Saaffaat, Aya 103

Makka · mpangilio wa kuteremshwa 56 · 37:103

فَلَمَّآ أَسْلَمَا وَتَلَّهُۥ لِلْجَبِينِ

Swahili Translation - Rowad Translation CenterBasi wote wawili walipojisalimisha, na akamlaza juu ya kipaji.
Swahili Translation - Ali Mohsin Al-BarwaniBasi wote wawili walipo jisalimisha, na akamlaza juu ya kipaji.
Unatafuta mada? Jaribu utafutaji wa maana — swali lako hutafutwa katika aya zote 6,236.
Lugha — 70