caseriqUtafutaji wa maana katika Qur'ani

Sura Ar-Room, Aya 12

Makka · mpangilio wa kuteremshwa 84 · 30:12

وَيَوْمَ تَقُومُ ٱلسَّاعَةُ يُبْلِسُ ٱلْمُجْرِمُونَ

Swahili Translation - Rowad Translation CenterNa siku itakaposimama Saa ya Kiyama, wahalifu watakata tamaa.
Swahili Translation - Ali Mohsin Al-BarwaniNa itapo simama Saa wakosefu watakata tamaa.
Unatafuta mada? Jaribu utafutaji wa maana — swali lako hutafutwa katika aya zote 6,236.
Lugha — 70