caseriqUtafutaji wa maana katika Qur'ani

Sura Ar-Room, Aya 11

Makka · mpangilio wa kuteremshwa 84 · 30:11

ٱللَّهُ يَبْدَؤُا۟ ٱلْخَلْقَ ثُمَّ يُعِيدُهُۥ ثُمَّ إِلَيْهِ تُرْجَعُونَ

Swahili Translation - Rowad Translation CenterMwenyezi Mungu huanzisha uumbaji, tena akaurudisha mara ya pili, na kisha mtarejeshwa kwake.
Swahili Translation - Ali Mohsin Al-BarwaniMwenyezi Mungu huanzisha uumbaji, tena akaurudisha mara ya pili, na kisha mtarejeshwa kwake.
Unatafuta mada? Jaribu utafutaji wa maana — swali lako hutafutwa katika aya zote 6,236.
Lugha — 70